Friday, October 21, 2016

NHC LAFANYA UHAKIKI WA VIKUNDI VYA VIJANA KATIKA MIKOA YA MWANZA, GEITA NA MARA

Jengo la ofisi linalojengwa na vijana wa kikundi cha Sarorya ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mradi wa vijana wa kutengeneza matofali ya kufungamana kupitia mashine zilizotolewa na NHC kama msaada kwa vijana. Wa Pili Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Jamii, Susan Omari ambaye aliongoza ujumbe wa NHC  katika uhakiki wa shughuli zinazofanywa na vijana hao baada ya kupewa msaada wa mashine.

Kanisa lililojengwa na vijana  wa kikundi cha Hope Revival - Manispaa ya Musoma ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mradi wa vijana wa kutengeneza matofali ya kufungamana kupitia mashine zilizotolewa na NHC kama msaada kwa vijana.
 Kanisa lililojengwa na vijana  wa kikundi cha Hope Revival - Manispaa ya Musoma ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mradi wa vijana wa kutengeneza matofali ya kufungamana kupitia mashine zilizotolewa na NHC kama msaada kwa vijana.
Meneja wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Benedict Kilimba ya utekelezaji wa mradi wa vijana wa kufyatua matofali yanayofungamana kupitia ufadhili wa na NHC wa msaada wa mashine ya kufyatua matofali kwa vijana wa Manispaa ya Ilemela – Mwanza.

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Jamii, Susan Omari akiwa katika mahojiano na vyombo vya habari baada ya kuhakiki vikundi vya vijana wa Ukombozi Vijana Magu kwenye eneo lao la kazi wanalotegemea kujenga nyumba.
Moja ya kazi za vijana wa kikundi cha Sarorya - Halmashauri ya Rorya ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mradi wa vijana wa kutengeneza matofali ya kufungamana kupitia mashine zilizotolewa na NHC kama msaada kwa vijana.
 Moja ya Nyumba iliyojengwa na vijana wa kikundi cha Ukombozi Vijana - Halmashauri ya Magu.
 Moja ya Nyumba iliyojengwa na vijana wa kikundi cha Ukombozi Vijana - Halmashauri ya Magu.
 Nyumba iliyojengwa na kikundi cha Ukombozi Vijana Magu.
 Nyumba iliyogengwa na vijana Ukombozi Vijana Halmashauri ya Magu.
 Nyumba iliyojengwa na vijana wa kikundi cha JOMUGI Maswa.
 Nyumba iliyojengwa na vijana wa Misungwi.
 Nyumba ya mwananchi iliyojengwa na vijana Rorya.
 Picha ya pamoja na vijana wa kikundi cha Ukombozi Vijana Magu mble ya mojawapo ya nyumba ziliyojengwa na vijana hao
 Eneo jingine la kazi ya vikundi cha Ukombozi Vijana Magu.
Eneo la kazi la kufyatua matofali ya vijana wa Misungwi.
Eneo la kazi la kufyatua matofali ya vijana wa Misungwi.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Jamii, Susan Omari na timu yake ya NHC akikagua matundu kumi  vya choo vilivyojengwa na vijana wa kikundi Jiendeleze - Halmashauri ya Musoma Vijijini.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Jamii, Susan Omari na Ujumbe wa NHC wakipata maelekezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya wa ya Magu Bw. Lutengano Mwalwiba.

 Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Jamii, Susan Omari na Ujumbe wa NHC wakipata maelekezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti  Bw. Juma Hamsini.
  Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Jamii, Susan Omari na Ujumbe wa NHC wakipata maelekezo kutoka kutoka kwa Mkuu wa wilaya ya  Biutiama Bi. Anna Nyamubi.

 Ujumbe kutoka NHC ukizungumza na Mkurugenzi  Halmashauri ya Mji wa Tarime Bw. Fidelica Myovella.
Ujumbe wa NHC ukipata maelekeo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Rorya Bw. Gasper Mago.

No comments: