Tuesday, August 09, 2016

BENKI KUU YA TANZANIA WATEMBELEA NA KUCHAGUA MAENEO ITAKAPOWEKEZA KWA AJILI YA NYUMBA ZA WAFANYAKAZI KATIKA MJI MPYA WA SAFARICITY

Injinia Hassan Mohamed pichani akitoa maelezo kuhusu nyumba za mfano zinazojengwa katika mji mpya wa SafariCity ulioko Mateves, Arusha.
Meneja Shirika la Nyumba Mkoa wa Arusha, James Kisarika na Afisa Mauzo Gibson Mwaigomole wakiowaonyesha wafanyakazi wa Benki Kuu ya Tanzania eneo walilolichangua na jinsi litakavyoonekana.
 Meneja mkoa wa Arusha, James Kisarika akiwaonyesha wafanyakazi wa Benki Kuu ya Tanzania eneo walilolichangua kwa ajili ya makazi ya (Senior Staffs).
 Afisa Mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa, Gibson Mwaigomole akisalimiana na Kaimu Mkurugenzi benki kuu ya Tanzania tawi la Arusha Dr. Maduhu Kazi walipofika eneo la Safari City.
 Meneja mkoa wa Arusha, James Kisarika akiwaonyesha wafanyakazi wa benki kuu ya Tanzania eneo walilolichangua kwa ajili ya makazi ya (Senior Staffs).
 Msafara wakuelekea katika mji mpya wa SafariCity ulioko Mateves, Arusha na baadhi ya wafanyakazi wa benki kuu ya Tanzania.
Meneja Shirika la Nyumba Mkoa wa Arusha, James Kisarika akiwaonyesha wafanyakazi wa benki kuu ya Tanzania baadhi ya maeneo yanaoneka ukiwa katika mji mpya wa SafariCity kama Mlima Meru, mji wa Arusha na maeneo mengineyo.
Meneja Shirika la Nyumba Mkoa wa Arusha, James Kisarika na baadhi ya wafanyakazi wa shirika wakifuatilia taarifa ya mradi iliokuwa ikitolewa na meneja kwa wafanyakazi wa Benki Kuu ya Tanzania.

No comments: